BAADA YA DUKA LA NGUO SASA AJA NA STATIONARY

Stationary ikiwa katika maandalizi.
Msanii kutoka Mbeya Izzo B, baada ya kufungua Duka la nguo maeneo ya Soweto Mbeya sasa anatarajia kufungua Stationary maeneo ya TEKU chuo kikuu..

No comments:

Post a Comment